Annie na Mawimbi (häftad)
Fler böcker inom
Format
Häftad (Paperback / softback)
Språk
Swahili
Antal sidor
42
Utgivningsdatum
2022-10-24
Förlag
Publicious Pty Ltd
Illustrationer
Color illustrations
Dimensioner
203 x 203 x 3 mm
Vikt
104 g
Antal komponenter
1
Komponenter
4372:Standard Color 8.0 x 8.0 in or 203 x 203mm Perfect Bound on Standard 70 White w/Gloss Lam
ISBN
9780648675136

Annie na Mawimbi

av Lambeth
Häftad,  Swahili, 2022-10-24
144
  • Skickas från oss inom 7-10 vardagar.
  • Fri frakt över 249 kr för privatkunder i Sverige.
Annie na familia yake wanaenda pwani kwa likizo.

Waokoaji wawili wa mawimbi wanatembelea shule ya Annie na anajifunza jinsi ya kukaa salama ufukweni.

Annie anagundua kwamba bahari inabadilika. Mwanzoni anahofia mawimbi lakini baada ya kuwakuta na waokoaji wa mawimbi, na pamoja na usaidizi wa familia yake, Annie hugundua hivi karibuni furaha ya kuogelea pwani.

Ujasiri wa Annie unaongezeka hadi anapopata wimbi kubwa ambalo humvuta ndani ya maji mengi zaidi.

Je, atakumbuka jinsi ya kuwaambia wakoaji wa mawimbi kwamba anahitaji usaidizi?

'Annie na Mawimbi' ni kitabu juu ya jinsi ya kukaa salama pwani.

Wakati unaposoma kitabu hiki utajifunza:

Waokoaji wa mawimbi wanavaa nyekundu na manjano

Unapaswa kuogelea katikati ya bendera nyekundu na manjano

Baadhi ya fukwe ni salama zaidi kuliko zingine

Kuna aina tofauti za mawimbi, baadhi yao ni salama zaidi kuliko mengine

Ikiwa unapata shida katika maji, tulia na inua mkono wako kuonyesha waokoaji wa mawimbi unahitaji msaada

Kuwa salama juani ufukweni. Vaa kofia na fulana ya kuogolea, na usisahau kupaka krimu ya kuzuia jua kabla ya kwenda nje katika juani

Na...

Hupaswi kamwe kuingia ndani ya maji peke yako!
Visa hela texten

Passar bra ihop

  1. Annie na Mawimbi
  2. +
  3. Mwana Mdogo Wa Mfalme/Le Petit Prince

De som köpt den här boken har ofta också köpt Mwana Mdogo Wa Mfalme/Le Petit Prince av Antoine De Saint-Exupery, Walter Kruse (häftad).

Köp båda 2 för 423 kr

Kundrecensioner

Har du läst boken? Sätt ditt betyg »

Fler böcker av Lambeth