138 kr
Läs direkt efter köp
138 kr
Läs direkt efter köp
153 kr
Skickas inom 5-8 vardagar
195 kr
Skickas
Zito anausifu ujinga. Darasani imekuwa ni kushikilia nikia kila kunapofanywa mtihani. "Sikiza," anamwainbia rafiki yake Sadiki. "Ukiwa daktari, utanihudumia nikiwa mgonjwa. Ukiwa mwalimu, utafundisha wanangu, na ukiwa wakili, utanisimamia katika kesi zangu... Katika kazi yoyote ile utakayoajiriwa kufanya, utakuwa ukitutumikia sisi wajinga..." Lakini siku ya kupata funzo kuwa ujinga haulipi imo njiani....